globe Kiswahili Resource Center banner  
coursesbreakcontactsbreakmaterialsbreakweblinksbreakhome end
white  
 

Kiswahili Presentation
Spring 2003
Mchezo huu umeandikwa na Sarah Smiley (Afiya) Malakai Edison (Malaki) na Lori Smith (Subira) wanafunzi wa mwaka wa kwanza

Scene 1: Subira na Afiya

S: Hujambo bibi.
A: Sijambo bibi.
S: Habari za asubuhi?
A: Salama. Na wewe je?
S: Nzuri. Habari za kazi?
A: Njema lakini kazi nyingi.
S: Ndiyo maisha.
A: Ndiyo. Unafanya kazi?
S: Hapana. Mimi ni mwanafuzi. Ninasoma katika chuo kikuu cha Kansas.
A: Unasoma masomo gani?
S: Ninasoma fizikia na astronomia.
A: Haya. Unapenda shule?
S: Ndiyo. Ninapenda shule sana.
A: Habari za familia?
S: Nzuri. Mama hajambo?
A: Hajambo. Baba hajambo?
S: Hajambo. Una nini asubuhi?
A: Nina karoti, viazi, kabiji, machungwa, na ndizi.
S: Ninataka karoti. Pesa ngapi?
A: Ni shilingi ishirini.
S: Ni ghali sana. Pesa nyingi. Nitakupa shilingi kumi.
A: Rahisi sana. Shilingi kumi na tano.
S: Haya. Ninataka viazi pia. Pesa ngapi?
A: Ni shilingi arobini.
S: Ghali sana. Shilingi thelanini.
A: Viazi ni vizuri. Shilingi thelathini na tano.
S: Haya. Unataka unga?
A: Sina unga leo.
S: Hana unga! Nitalipa shilingi themanini na tano.
A: Nina unga kidogo. Unataka kununua unga kidogo tu?
S: Ndiyo. Asante sana.
A: Haya. Shilingi mia moja, thelathini na tano.
S: Ninataka kahawa kikombe pia.
A: Shilingi tatu.


Scene 2: Malaki anafika

M: Hujambo bibi.
S: Sijambo bwana. Unataka kahawa?
M: Ndiyo.
S: Kahawa mbili.
A: (kwa Subira) Unataka sukari au maziwa?
S: Ndiyo, ninataka sukari na maziwa.
A: (kwa Malaki) Na wewe je?
M: Ninataka sukari na maziwa pia.
S: Kahawa ni nzuri.
A: Asante.
S: Habari za familia?
M: Nzuri lakini mama mgonjwa. Alienda kuona daktari. Akampa dawa. Mama anapumzika sasa.
S: Pole sana.
M: Nimeshapoa. Ninapenda shati yako.
S: Asante.
M: Ninapenda rangi. Ulinunua wapi?
S: Nilinunua shati katika safari. Nilitaka kununua shati rangi ya buluu lakini hakuna. Kwa hivyo nilinunua shati rangi nyeupe.
M: Mimi hupenda kanga zako. Ulinunua zaidi?
S: Hapana. Nilinunua pete mbili na vipuli.
M: Ulisafiri wapi?
S: Nilienda New Zealand. Nikafanya utafiti.
M: Ilikuwa nzuri?
S: Ndiyo. Ilikuwa salama sana. Sitaki kurudi.
M: Kulikuwa na mvua?
S: Ndiyo
M: Pole.
S: La, la. Ninapenda mvua.
M: Ulifanya utafiti gani?
S: Astronomia.
M: Ulifanya vitu vingine.
S: Ndiyo, nilienda pwana pia.
M: Uliona nyama?
S: Ndiyo, niliona ndege kwa kiwi.
M: Kwa kiwi? Ndege kubwa?
S: Hapana. Ndege ndogo.
M: Ulikula chakula kizuri?
S: Ndiyo, nilikula matunda.
M: Ninapenda matunda.

Scene 3: Afiya anarudi

A: Subira, nina karoti, viazi, na unga wako.
S: Asante. Ninataka kukujulisha na rafiki Malaki.
A: Hujambo bwana.
M: Sijambo bibi. Habari za asubuhi?
A: Nzuri sana. Na wewe je? Habari gani?
M: Salama lakini kazi nyingi.
A: Ndiyo maisha. Wewe ni mwanafunzi?
M: Ndiyo. Ninasoma katika chuo kikuu cha Kansas.
A: Unasoma masomo gani?
M: Ninasoma Kiswahili na mashairi.
A: Nilisoma Kiswahili pia.
M: Ulisoma wapi?
A: Nilisoma katika chuo kikuu cha Cincinnati.
M: Ulisoma mwaka gani?
A: Nilisoma mwaka wa 1980.
M: Ndiyo mama.
A: Unataka kununua chakula?
M: Ndiyo, ninahitaji kununua matunda kwa mama yangu. Mama mgonjwa.
A: Pole sana. Ana nini?
M: Alikuwa na homa. Ana maumivu ya kichwa.
A: Pole sana. Nina machungwa. Unataka kununua machungwa?
M: Ndiyo. Pesa ngapi?
A: Machungwa shilingi ishirini na tano.
M: Pesa nyingi. Mama mgonjwa. Nina shilingi ishirini na mbili.
A: Haya, kwa sababu mama mgonjwa, shilingi ishirini na mbili.
M: Asanta sana.
A: Lazima mama ale ndizi pia.
M: Daktari alimpa dawa. Nitampa chakula.
A: Unataka kununua ndizi?
M: Pesa ngapi?
A: Ni shilingi kumi.
M: Sina pesa. Nitarudi kununua ndizi kama nina saa.
A: Haya.

Scene 4: Malaki na Subira wanakwenda

M: (kwa Subira) Saa ngapi?
S: Saa kumi kamili.
M: Nitarudi nyumbani saa kumi na nusu.
S: Unakwenda nyumba kwa njia gani?
M: Sina gari. Mimi huenda kwa basi au teksi. Leo, nitakwenda kwa teksi. Utakuja kwangu ?
S: Ndiyo. Marafiki watakuja kwa chakula cha joini. Sina saa. Utakuja chakula cha jioni?
M: Ndiyo lakini hapana, ninataka kumpa mama chakula.
S: Haya. Nitalete chakula usiku.
M: Ndiyo. Lazima twende.
S: (kwa Afiya) Kwaheri.
A: Kwaherini.

Mwisho


 
  African Studies Resource CenterbreakDept of African & African-American Studies end
this page mets accessibility guidelines
This website was originally developed with support from a U. S. Department of Education Title VI grant for "Enhancing Less Commonly Taught Languages and Cultures" (Award #P016A990036). This page was created by Jane Irungu with the assistance of Jonathan Perkins and Lewis Walton of the Ermal Garinger Academic Resource Center of the University of Kansas. Last modified May 3, 2004 .
KU Foreign Languages webpage