![]() |
![]() |
|||||
|
A Play Written by Spring 2000 Second Year Students (KIS 210)
Scene 1 (Dormitory) Narrator: Juma Naitingeli ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kansas, na anazuru Mombasa. Anatazamia safari ya kawaida, lakini watu wa Mombasa wana mipango mingine.... Sasa Juma azumgumza na Rehema, mwanafunzi mzaliwa wa Mombasa. Rehema: Jambo, Juma. Juma: Jambo, Rehema. Habari za siku nyingi? Rehema: Nzuri sana. Na wewe je? Juma: Bora, asante. Rehema: Habari za mosomo? Juma: Hakuna habari. Sijajifunza kitu. Rehema: Lazima uende darasani mara kwa mara. Juma: Labda wewe ni sahihi. Lakini sijui Chuo Kikuu ni wapi. Ha Ha Ha! Rehema: Umbumbavu. Kwa heri, Juma. Juma:Tutaonana kesho. (mwisho)[end] Scene 2 (The streets of Mombasa) Narrator: Juma ananisaidia kwenda darasani, lakini sasa amepotea njiani za Mombasa. [Juma walks down the street trying to get peopleís attention: Samahani... Finally, he runs in to Ali] Juma: Samahani, bwana... Ali: Naam, bwana. Juma: Asante... nimepotea. Ninatafuta Chuo Kikuu cha Mombasa. Unaweza kunisaidia? Ali: Aahhh... wewe ni mwanafunzi? Nilizinunua kutoka kwa Bibi Konzi. [Ali offers drugs] Juma: Una dawa ya kuvuta? Ali: Bila shaka. [pulls out drugs] Juma: Unauza bei gani? Ali: Shilingi hamsini kwa kilo. Juma: Ghali sana, tena sana! Punguza bei. Ali: Haya, haya... arobaini. Juma: Ni biashara bora? Ali: Bila Shaka, bwana. Dawa za kulewa hizi zimetoka Bibi Konzi ashubuhi hii. Juma: Bibi Konzi ni nani? Ali: Hakuna matata. Ni biashara bora. Lete, pesa, bwana. Juma: Nitakulipa thelathini na tano. Ali: Haya... vizuri. [transaction of drugs and money] Juma: Chuo kikuu ni wapi? Ali: Moja kwa moja, upande wa kulia wa soko. Juma: Asante. Ali: Furahia, kwa heri. Juma: Kwa heri. [end] Scene 3 sokoni(at the market) Daudi: Njoo hapa, bwana. Juma: Unauza nini? Daudi: Makahaba. Juma: Makahaba? Daudi: Makahaba. Juma: Hapana, asante. Mimi ni mwanafunzi mstahiki. Daudi: Wewe si mstahiki. Juma: Samahani? Daudi: Nilikuona ukinunua dawa za kulewa. Juma: Usijishugulishe na mambo yangu. Daudi: Labda askari polisi huyu atajishugulisha. [pointing] Juma:Hutamwambia,sivyo? Daudi: Ukinunua kahaba kila siku ya wiki, sitamwambia. Juma: Ala! Ni mlungula! Daudi: Unapatana au hupatani? Juma: Unauza bei gani? Daudi: Shilingi mia moja kila usiku. Juma: Shilingi mia moja! Ghali sana, tena sana! Punguza bei! Daudi: Siwezi kupunguza bei.Ninajaribu kulisha watoto kumi na saba. Mimi ni mtu wa jamaa. Juma: Haya. Chukua pesa. Unaweza kuvunja noti ya shilingi elfu moja. [holding out money] Daudi: [taking the money and putting it into his pocket] La. Juma: Huna chenji? Daudi: Siuzi wengi. Juma: Haya, lakini,.. ongeza kidogo. Daudi: [sigh] Haya.. Unaweza kuwa na wanawake wawili leo usiku. Juma: Asante, ndugu. Daudi: [pointing] Katika orofa ya juu kwa kuume. [Juma leaves room-- Enter Narrator] Narrator: Badaa ya dakika kumi na tano. [Exit Narrator-- Enter Juma, disshevelled and smoking something] Juma: Asante, bwana. [offering the smoke] Unataka? Daudi: La asante, mimi ni mstahiki. Juma: Tutaonana kesho. [Exit Juma laughing crazily] [end] Scene 4 (Ali's House) Narrator:Ali yuko nyumbani na simu na midomo inapiga kengele... [makes phone ringing noise] Ali: [answering phone] Jambo?... Bibi Konzi! Habari za biashara?... Pole, sikutaka kukuchokoza. Unataka msaada wangu?... Ndiyo, ninajua kwamba unakiri kila nyumba ya makahaba ila moja, nyumba ya Daudi au Pimpi Palasi ... Ndiyo ninajua Daudi, tulimpa mzungu mlungula leo ashubuhi... Niue Daudi?!... Unataka nimzike kwenye pahali penye wafu?... Haya, haya... La, la, ninajua kwamba utanilipa vizuri, kwa heri. [hangs up the phone] Niue Daudi? Lakini ni rafiki. [Enter Daudi] Daudi: Hodi! Hodi! Ali: Karibu, Daudi nini rafiki yangu? Daudi: Habari za usiku? Ali: Nzuri sana. Na wewe? Daudi: Nzuri, nzuri. Ali: Unataka pombe? Daudi: Haya. [Ali gets beer and gives one to Daudi] Daudi: [giving money to Ali] Chukua sehemu yako ya pesa ya mzungu leo ashubuhi. Ali: Asante. Cheers! [Cheers; both drink] Bibi Konzi amepiga kengele na anataka tuue mtu kwenye pahali penye wafu leo usiku. Daudi: Bora! Sikuwa na mipango. Ali: vizuri. Ngojea hapa nitarudi na bunduki. Daudi: Haya. [Ali leaves, Daudi chugs his beer, Ali returns] Ali: Haya, twende kazini, Daudi. [end] Scene 5 (Graveyard) [Juma stumbles in, sits on a grave, smokes drugs] Juma: Ni usiku! Nimepotea bado. Sikuenda darasani. Lakini nilipata dawa ya kulewa na... [inhales]... Ha ha ha, na makahaba, Ha ha ha... Ndovu nyekundu nyeupe; tazama wafu! upepo unachekelea... I want some Cheetos! Ha ha ha! [inhales]... [Enter Daudi and Ali] Tazama watu wawili. Aahhh wao ni marafiki zangu sokoni. Wanafanya nini kwenye pahali penye wafu usiku? [Ali pulls a gun, Daudi raises his arms, backs away] Tazama anabunduki. [inhales] bunduki! Ala! [BANG!!! Daudi falls dead] Ala! Lazima nitulie au ataniua pia. [Ali starts digging] Lazima nitafute usalama. Nifuate wafu! twende nyumbani. [end] Scene 6 (Dormitory) Narrator: Juma alirudi bweni. Asubuhi ya kufuata Juma anazungumza na Rehema. Rehema: Habari za asubuhi, Juma? Juma: Ninamaumivu ya kichwa. Rehema: Wewe ni mahututi? Juma: Hapana, bila shaka. Rehema: Kwa hivyo kwa nini hukuhuduria darasa. Juma: Siwezi kukumbuka. Rehema: Una Homa? Nilikuwa na rafiki aliyekuwa na kisonono na homa sikuzote. Juma: Ni kweli,nina kizunguzungu ugongwa wakuhara, lakini mimi ni mstahiki. Rehema: Wewe si mstihiki kama umesema, ninaweza kununusa dawa za kulewa katika nguo zako. Juma: [remembering the previous night] EEehhhh... Nilikuwa nimepotea... nikanunua dawa... nika... la, la... nikakuwa kwenye pahali wafu... [grabs Rehemaís sholders in fright] Nikaona uuaji! Rehema: Ala! Bila shaka? Juma: Ndiyo, ninadhani. Rehema: Ulikuwa unavuta kwenye pahali penye wafu? Juma: Ndiyo, ninadhani. Rehema: Hujaona uuaji, miungu wamekulani kwa sababu umesumbua wafu na sasa wametia magigazi ya kifo katika kichwa chako. Pia,ulikuwa umejaa dawa zakulewa. Juma: Ala! Laana! Nifanye nini? Rehema: Ninajua mganga nje ya mji anaweza kupunga pepo. Juma: Pepo!? Mganga yuko wapi? Rehema: Nitakuchukua leo usiku. Juma: Nitafanya nini mpaka alasiri? Rehema: Labda afadhali uende darasani. Juma: Akili ni mali. [end] Scene 7 (Mganga's hut) Narrator: Ni alasiri. Rehema amechukua Juma nyumbani ya Mganga. [Mganga sits in room. Enter Rehema] Rehema: [Standing at door] Shikamoo Mganga. Mganga: Marahaba, mtoto. Karibu. Rehema: [Entering] Asante. Mganga: Ninaweza kukusaidia? Rehema: Tunatafuta hekima. Mganga: Sema. Rehema: Rafiki yangu mwamerika amejipatia laana ya wafu. Mganga: Mlete hapa. Rehema: Haya. [Rehema leaves, brings in Juma] Juma: Shikamoo. Mganga: Marahaba, mtoto. Eleza mzungu. Juma: Rehema aliniambia miungu wamenilaani kwa sababu nimesumbua wafu na sasa wametia mazigazi ya kifo katika kichwa changu. Mganga: [Nods knowingly] Hhmmm.... Laziwa ufanye vitu vitatu: kwanza, pata kuku. Kisha nikute kwenye pahali penye wafu saa sita usiku. Mwisho, sharti ubaki safi mpaka hapo. Hakuna vyakula, dawa, wala wanawake. Unaweza kunywa maji tu.... Afadhali uende sasa. Juma: Haya, Mganga. Tunaonana hapo. Kwa heri, Rehema. Rehema: Kwa heri, Juma. [Exit Juma] Asante Mganga, nitakumbuka ukarimu wako. [end] Scene 8 (Outside Pimp's Palace) Narrator: Juma anaenda kwa miguu sokoni anaona nyumba ya makahaba na anakumbuka Daudi ananiwiwa! [Enter Juma] Juma: Daudi yuko wapi? Ananiwiwa siku sita. Ali: Mwenyewe mpya. Juma: Nani? Ali: Bibi Konzi. Juma: Si muhimu... Nitataka kahaba yangu tu. Nimeshalipa. Ali: Haya. Ingia. [Juma goes inside Pimp's Palace. Enter Bibi Konzi/ Rehema] Bibi Konzi: Ali, Biashara vipi leo? Ali: Si... Si mbaya. Bibi Konzi: Nipe nusu ya pesa sasa. Ali: Chukua pesa, basi. [hands money] Bibi Konzi: Ni kila?! Si nzuri, Ali. Ninadai matokeo au utaumwa daima. Ali: Haya, ninaahidi nitapunguza bei. [Enter Juma, disshevelled] Juma: Rehema!! Kwa nini umekuja? Rehema: Na wewe je?! Juma: Ni hoteli. Nilikuwa ninapumzika. Na wewe? Rehema: Nimekuja kuona rafiki yangu, Ali. Juma: Ah, tutaonana darasani. Nitaenda kula mkahawani. [Exit Juma] Rehema: Kwa heri. Ali: Rehemaî? Bibi Konzi:Rudi kazini! Ali: Haya. Bibi Konzi: Ali, lazima tuondoe mzungu huyu kwa sababu alikuona ukiua Daudi. Ali: La, haiwezekana, basi. Hapana mtu aliniona, mimi ni stadi wa kuua. Bibi Konzi: Ni kweli, wewe ni stadi wa kuua; lakini Juma aliniambia aliona uuaji kwenye pahali penye wafu. Sharti umwangamize. Ali: Haya, Konzi. Bibi Konzi: Juma atakuwa kwenye pahali penye wafu saa sita usiku leo. Ali: Haya kama unataka. Ninaweza kutumia kijiko ili kumwua? Bibi Konzi: Unajua nimesifu daima taratibu zako. Ali: Asante sana. Bibi Konzi: Kwa heri. Ali: Kwa heri. [Bibi Konzi turns to leave, but then stops saying:] Bibi Konzi: Ngojea! Ali: Naam. Bibi Konzi: Mwue pia. Ali: Ninapenda akili yako mbovu. [end] Scene 9 (Restaurant/ Market) Narrator: Juma amemaliza chakula chake na anaenda duka ya mwuzaji wa kuku. Juma: [leaving restaurant] Nimekula chakula kingine. Sasa nitavuta dawa. Ha ha ha. [Smoking drugs, Juma arrives at the shop] Mwuzaji: Njoo hapa, bwana! Juma: Ninahitaji kuku ya kufaa kwa sababu ya pepo. Mwuzaji: Bora! Nina kuku nono na nzuri. Si ghali. Juma: Unauza bei gani? Mwuzaji: Shilingi kumi na tano. Juma: Ni Kichaa! Tazama kuku huyu! Ni ncha ya juu ya kazi ya muumba! Ni nono sana! Lazima uuze kuku huyu kuliko shilingi ishirini! Mwuzaji: Haya, kama unataka. Juma: Haya, chukua pesa. [hands her money] Mwuzaji: [counting money] Shilingi ishirini na tano?! Ongeza kidogo! Ni kuku nono. Juma: Bila shaka, kama unataka. Chukua tano zaidi. [Juma hands her five more shilings] Mwuzaji: Bahili. Pesa hii italisha jamaa yangu vipi? Kuku huyu ni mnono kuliko wewe. Juma: Chukua mia moja zaidi lakini mimi si tajari. [Hands her one hundred more shilings] Ningekupa zaidi, lakini sina pesa sasa? Mwuzaji: Haya... chukua kuku. [hands Juma the chicken] Juma: Asante. Kwa heri, mama. Mwuzaji: Kwa heri. [end] Scene 10 (Graveyard) Narrator: Ni saa situ usiku na Mganga anatafakari kwenye pahali penye wafu. Mganga: [while meditating] ...Mungu, sitaki kubishana, wewe si mnono. Unahitaji kujistahi... Ee, umebishana vizuri... Mwalimu?... [coming out of trance] ...Nimeshindwa tena! [Enter Juma with chicken] Juma: Jambo, nimeleta kuku. Mganga: Umechelewa. Juma: Nimepotea. Lakini tazama kuku nono hii. Ingeweza kukamata pepo tano! [Silence. Mganga shakes his head in disbelief] Mganga: Umebaki safi. Juma: Safi?... Aahhh... ndiyo, safi kama mbwa. Mganga: [Looking to God imploringly, then to Juma] Nitakuambia: usipokuwa safi pepo za wafu wataisafisha dunia yako. Utakufa kifo cha maumivu. Juma: Nimesha kuambia-- kama ubwa! Mganga: Na bahati. Haya, tuanza. Keti. [Juma sits] Funika kichwaa chako na kitambaa hiki. [indicates Jumaís shirt; Juma covers head] Sasa, nipe kuku. [Mganga takes chicken] [Enter Ali and Bibi Konzi to side of room] Bibi Konzi: Wao wako, tazama... Mganga: Sikiliza pepo, ondoka mwili huyu na ingia mnyama huyu! [Juma acts like a chicken] Kuku amekufa. Yaani... Bibi Konzi:Tazama pepo ya kuku imeingia Juma!! Mganga: Nimekuwa daima Mganga mzuri. Bibi Konzi: Waue sasa! [Ali (with spoon) kills Juma, then turns towards Mganga] Mganga: Usiniue! Utalaaniwa! Ali: Laani yako ni kijiko hiki! [stabs Mganga, Mganga dies] [Bibi Konzi approaches Ali] Bibi Konzi: Ninaona umemaliza kazi. Ali: Ndiyo. Umetoshelezwa? Bibi Konzi: Karibu. Lakini kuna jambo moja la mwisho. Ali: Nini? Bibi Konzi: Umetimiza sababu yako, Ali. Sikuhitaji tena. [Bibi Konzi pulls gun] Ali: Nini?... Hapana! [BANG! Ali falls dead] Bibi Konzi: Bibi Konzi anaishi daima. Ha ha ha! [Exit Bibi Konzi] END MWISHO! |
||||||
|
This website was originally developed with support
from a U. S. Department of Education Title VI grant for "Enhancing
Less Commonly Taught Languages and Cultures" (Award #P016A990036).
This page was created by Jane Irungu with the assistance of Jonathan Perkins
and Lewis Walton of the Ermal Garinger
Academic Resource Center of the University
of Kansas. Last modified
May 3, 2004
.
|