globe Kiswahili Resource Center banner  
coursesbreakcontactsbreakmaterialsbreakweblinksbreakhome end
white  
 


Rebekah Hartnett (Lulu)
Mwanafunzi wa mwaka wa pili
Spring 2005

Safari yangu ya mji wa Edinburgh, Scotland

Nilisafiri katika Scotland , kwa sababu, kaka yangu alioa katika mwezi wa Novemba. Kaka yangu, jina lake ni David, na mke wake, Jina lake ni Jen. David ni Mwamerika, na Jen ni Mwiingereza. David na Jen wanakaa na wanasoma katika Scotland . Familia yangu na mimi tulisafiri Scotland kwa ndege. Baada ya kufika Edinburgh , tulikodi gari.

(Mji wa Edinburgh)

Usiku huo, tulikaa nyumbani ya wazazi wa Jen. Tulikunywa chai na tulikula chakula. Tulitembea kanisa la zamani. Jen alitufundisha historia ya kanisa.

(Nyumbani ya wazazi wa Jen)

 

Baadaye, tulitembea boma ambalo ni karibu na mji. Niliona taji la malkia. Kulikuwa na watu ambao huuza vitu vingi, na watu ambao wamevaa nguo kama William Wallace. William Wallace alikuwa mpiganiaji katika uhuru wa Scotland .

(boma ambalo ni karibu na mji wa Edinburgh) 

Hali ya Hewa katika Scotland ni mbaya sana . Kulikuwa na baridi, mawingu, mvua, barafu, na upepo. Sikupenda hali ya hewa, kwa sababu hakukuwa na jua.

Siku moja, kulikuwa na jua kidogo katika harusi. Kulikuwa na watu wengi

katika harusi. Tuliimba, na tulisali. Kasisi alisoma bibilia. David na Jen walisema nadhiri.Baadaye, kulikuwa sherehe, keki, na kinywaji.

(Katika harusi) (nguo ya familia)

Katika harusi, watu wengi wamevaa nguo ya desturi. Mzee huyu anavaa nguo ya familia yako. Bibi arusi alivaa nguo nyeupe na maua mengi.

Baada ya harusi, dada yangu na mimi tulienda sokoni kwa basi. Basi hili lina madaraja na ghorofa mbili. Usiku huo tulikaa katika nyumba ya rafiki ya David. Katika asubuhi, tulikula chakula cha asubuhi katika mkahawa. Chakula kilikuwa ghali sana kwa sababu bei ya mabadilishano ni mbaya. Baadaye, nilitembea makumbusho. Baada ya chakula cha mchana, nilisafiri katika shamba. Katika shamba, kulikuwa na kondoo na ng'ombe. Wakulima wametumia kondoo, kwa sababu wamevaa nguo ya sufu. Tulirudi nyumbani ya rafiki usiku huo.

(shamba karibu na St. Andrews)

Katika asubuhi, tulirudi uwanja wa ndege kusafiri nymbani. Tulisafiri kwa ndege kutoka Edinburgh mpaka New York , na kutoka New York mpaka Kansas City . Nilirudi nyumbani kwa gari.

 

MWISHO


 



 
  African Studies Resource CenterbreakDept of African & African-American Studies end
this page mets accessibility guidelines
This website was originally developed with support from a U. S. Department of Education Title VI grant for "Enhancing Less Commonly Taught Languages and Cultures" (Award #P016A990036). This page was created by Jane Irungu with the assistance of Jonathan Perkins and Lewis Walton of the Ermal Garinger Academic Resource Center of the University of Kansas. Last modified March 7, 2005 .
KU Foreign Languages webpage