globe Kiswahili Resource Center banner  
coursesbreakcontactsbreakmaterialsbreakweblinksbreakhome end
white  
 

Makala haya yameandikwa na Sarah Smiley (Afiya) mwanafunzi wa mwaka wa pili Spring 2004

Jiografia ya Afrika

Afrika ni bara. Ina nchi hamsini na mbili. Nchi nyingine ni kubwa, nyingine ni ndogo. Nyingine ziko jangwa, nyingine ziko msitu wa mvua. Nchi ni tofauti sana. Afrika ni kubwa zaidi kuliko Amerika, New Zealand, Ulaya ya Magharibi, na Uchina pamoja. Leo, nitasema juu ya jiografia ya Afrika ya Mashariki.

Nchi za Afrika ya mashariki ni Uganda, Kenya, na Tanzania. Nitasema juu ya watu, serikali, lugha, dini, mazingira, wanyama, na ukoloni na uhuru.

Kwa Uganda, kuna watu milioni ishirini na tano. Rais ni Yoweri Museveni tangu 1986.

Hakuna vyama. Kaabla ya Museveni, Uganda ilikuwa na wadikteta kama Amin na Obote. Wao walikuwa wabaya sana na waliua watu wengi. Watu wanasema Kiingereza. Kiingereza ni lugha ya rasmi. Kuna lugha ya kienyeji vijijini kama Kiluo na Kiacholi. Watu wengine wanasema Kiswahili. Watu ni Wakristo. Watu walikuwa Ukristo kaabla ya ukoloni. Kuna Wahindi pia kwa sababu Waasia wengi walifanya kazi kwa reli. Baadye, Waasia walikaa Uganda na walifanya biashara.

Mto Nile unaanza katika Uganda. Unaanza katika Ziwa Victoria.

Sokwe wanakaa Uganda tu. Sokwe chache sana wanakaa dunia. Korongo ni ndege wa taifa. Uganda ilikuwa koloni ya Uingereza. Uganda ilipata uhuru wake tarehe 9, mwezi wa Oktoba, mwaka 1962.

  Kwa Kenya, kuna watu milioni thelathini na moja.

Rais ni Mwai Kibaki tangu 2001. Kabla ya Kibaki, Kenya ilikuwa na rais wawili tu: Kenyatta na Moi. Watu wengi walipenda Kenyatta lakini hawakupenda Moi. Watu wanasema Kiswahili na Kiingereza. Kiingereza ni lugha ya rasmi. Kiswahili ni lugha ya taifa. Lugha ya kwanza si Kiswahili au Kiingereza, ni Kikamba, Kikuyu, na kadhalika. Watu ni Wakristo katika bara na watu ni Waislamu pwani.

Ziwa Turkana liko Kenya. Wachungaji wanaongoza ng'ombe kule kunywa. Maji ni rangi ya kijani kibichi

. Kenya ina wanyama wengi lakini ng'ombe ni muhimu sana. Ng'ombe ni pesa katika mahali pengine. Kenya ilikuwa koloni ya Uingereza. Kenya ilipata uhuru wake tarehe 12, mwezi wa Desemba, mwaka 1963.

 Kwa Tanzania, kuna watu milioni thelathini na nne.

Rais ni Benjamin Mkapa. Kabla ya Mkapa, Tanzania ilikuwa na rais wawili tu: Nyerere na Mwinyi. Wakati Mwalimu Nyerere alikuwa rais, kulikuwa na Ujamaa. Wakati Ujamaa, watu walikaa pamoja. Wao walikuwa familia. Watu wanasema Kiswahili. Kiswahili ni lugha ya rasmi. Pwani, watu wanasema Kiarabu pia. Watu wengi ni Waislamu.

Mlima Kilimanjaro uko Tanzania. Kilimanjaro ni mlima urefu Afrika. Kuna theluji katika vilele. Kuna wanyama wengi wako Tanzania. Watu wengi wanakuja kuona wanyama kama simba, ndovu, na kiboko. Tanzania ina sehemu mbili: Tanganyika na Unguja. Tanganyika iko kusini ya Kenya na Unguja ni kisiwa. Mpaka Vita vya Kwanza ya Dunia, Tanganyika ilikuwa koloni ya Ujerumani. Baada ya vita vya dunia, Tanganyika ilikuwa koloni ya Uingereza. Unguja ilikuwa koloni ya Uingereza lakini Wahindi wengi walikaa Unguja. Tanganyika ilipata uhuru wake tarehe 9, mwezi wa Desemba, mwaka 1961. Unguja ilipata uhuru wake tarehe 9, mwezi wa Desemba, mwaka 1963.

  Mwisho

 

 

 
  African Studies Resource CenterbreakDept of African & African-American Studies end
this page mets accessibility guidelines
This website was originally developed with support from a U. S. Department of Education Title VI grant for "Enhancing Less Commonly Taught Languages and Cultures" (Award #P016A990036). This page was created by Jane Irungu with the assistance of Jonathan Perkins and Lewis Walton of the Ermal Garinger Academic Resource Center of the University of Kansas. Last modified May 3, 2004 .
KU Foreign Languages webpage