| |
Makala haya yameandikwa na Justin Shmalberg (Juma) mwanafunzi wa mwaka wa tatu,
Spring 2003

Jimbo la Kansas ni sehemu ya Amerika. Lina watu mbalimbali, miji mikubwa
na midogo, na mivuto tofauti kwa wageni kufurahia!
Mji mkuu wa Kansas ni
Topeka, mji katika sehemu ya Mashariki ya jimbo. Hapa, kuna bunge la chini
na la juu, na ofisi ya mjumbe.

Kathleen Sebelius ni mjumbe wa Kansas yeye alichaguliwa mwezi wa
Novemba, mwaka wa elfu mbili na mbili.
Habari Kuhusu Jimbo la Kansas
| Mwaka wa Utaifa |
Elfu Moja Mia Nane Sitini na Moja
(Jimbo namba 34) |
Wito wa Jimbo |
Ad Astra per Aspera Hadi nyota kupitia
shida |
| Idadi ya Watu |
Milioni mbili na nusu |
Wimbo ya Jimbo |
Nyumba katika Safu |
| Idadi ya Watu Iliyo Kithiri |
Watu kumi na mbili kwa kilomita za mraba |
Miji Mikubwa |
Wichita, Kansas City, Overland Park, Topeka |
| Jina la Utani |
Jimbo la Alizeti |
Miji Midogo |
Freeport, Oak Hill, Benedict |
Nyati wa
Amerika ni mnyama rasmi la jimbo.
Meadowlark ya Magharibi
ni ndege rasmi.
Nyuki
wa Asali alipewa jina la mdudu wa Kansas, mwaka wa 1976.
Jimboni, kuna alizeti nyingi na haya ni maua rasmi ya Kansas.
Kasa huyu ni mtambaazi rasmi, ni kasa wa kasha lenye madoido.
Kansas ina viwanda vingi, kama ofisi mjini Kansas City na utengenezaji
wa ndege mjini Wichita.
Mji wa Lawrence

Kwa wageni na raia ambao wanapenda ulimwenguni, kuna mbuga za Ziwa la
Clinton na Ardhi ya Majimaji ya Baker karibu na mji.
Chuo Kikuu cha Kansas
ni sehemu ya muhimu ya jumuia. Kila mwaka, kuna wanafunzi elfu ishirini
ambao huja hapa kusoma na kufurahia maisha katika Lawrence. 
Mjini Lawrence ni mahali pa kusisimua! Karibu na Mtaa wa Massachusetts,
kuna duka nyingi, mikahawa ya aina yote, na sherehe tofauti. Mjini ni
kama utamaduni mkubwa kwa hali ya mji mdogo!
Lazima uje Lawrence
leo na kuona nini Lawrence na Jimbo la Kansas zinaweza kukuonyesha. Kuna
hoteli nzuri sana kama Eldridge mjini Lawrence unapoweza kukaa!
|
|